Ufafanuzi wa uhenga katika Kiswahili

uhenga

nominoPlural uhenga

  • 1

    maarifa na ujuzi wa mambo ya kale.

    ukale

Matamshi

uhenga

/uhɛnga/