Ufafanuzi wa uhodari katika Kiswahili

uhodari

nominoPlural uhodari

  • 1

    uwezo wa kufanya jambo kwa njia bora zaidi kuliko wengine.

    usogora, ufundi, ujasiri

Asili

Kar

Matamshi

uhodari

/uhɔdari/