Ufafanuzi wa uhuru katika Kiswahili

uhuru

nominoPlural uhuru

  • 1

    hali ya kutotawaliwa na mtu au nchi nyingine; hali ya kufanya mambo bila ya kuingiliwa.

    ‘Uhuru wa vyombo vya habari’

Matamshi

uhuru

/uhuru/