Ufafanuzi wa uingizaji katika Kiswahili

uingizaji

nomino

  • 1

    tendo la kuchukua vitu kutoka nje na kuviingiza ndani ya sehemu au eneo lenu.

    ‘Uingizaji wa soda kutoka nje umesaidia kushusha bei ya bidhaa hiyo’

Matamshi

uingizaji

/uwingizaŹ„i/