Ufafanuzi wa ujambazi katika Kiswahili

ujambazi

nomino

  • 1

    wizi wa kutumia nguvu na agh. silaha.

Matamshi

ujambazi

/uʄambazi/