Ufafanuzi wa ujana katika Kiswahili

ujana

nominoPlural ujana

  • 1

    umri kati ya utoto na utu wa makamo.

    methali ‘Ujana ni moshi, ukenda haurudi’
    ushababi

Matamshi

ujana

/uʄana/