Ufafanuzi wa ujanja katika Kiswahili

ujanja

nominoPlural ujanja

 • 1

  hali ya kuwa na hila.

  udanganyifu, uayari, unafiki, magube, ghiliba, gea, kipengee, upunjaji

 • 2

  akili, bongo, werevu, fahamu

 • 3

  mizungu

 • 4

  hekima

Matamshi

ujanja

/uʄanʄa/