Ufafanuzi wa ujasusi katika Kiswahili

ujasusi

nominoPlural ujasusi

  • 1

    utafutaji wa siri, agh. za nchi, kwa manufaa ya nchi nyingine.

Asili

Kar

Matamshi

ujasusi

/uʄasusi/