Ufafanuzi wa ujomba katika Kiswahili

ujomba

nomino

  • 1

    uhusiano wa mtoto na ndugu wa kiume wa mama yake.

Matamshi

ujomba

/uʄɔmba/