Ufafanuzi msingi wa ujombani katika Kiswahili

: ujombani1ujombani2

ujombani1

nomino

kizamani
  • 1

    kizamani jina la zamani la sehemu wanapokaa Waswahili, hasa pwani.

Matamshi

ujombani

/uʄɔmbani/

Ufafanuzi msingi wa ujombani katika Kiswahili

: ujombani1ujombani2

ujombani2

nomino

  • 1

    upande wa mama kinasaba.

Matamshi

ujombani

/uʄɔmbani/