Ufafanuzi wa ujusi katika Kiswahili

ujusi

nominoPlural ujusi

  • 1

    hali ya kutokuwa safi ambayo mwanamke huwa nayo, agh. kwa siku arubaini baada ya kujifungua.

  • 2

    harufu anukayo mwanamke baada ya kujifungua.

Asili

Kar

Matamshi

ujusi

/uʄusi/