Ufafanuzi wa ukamio katika Kiswahili

ukamio

nominoPlural kamio

  • 1

    chombo cha kubania kila upande ili kutoa nje uowevu uliomo ndani, hasa hutumika kukamulia maziwa ya ng’ombe.

Matamshi

ukamio

/ukamiɔ/