Ufafanuzi wa ukandamizaji katika Kiswahili

ukandamizaji

nomino

  • 1

    hali au namna ambayo tabaka fulani hunyima haki tabaka jingine kisiasa, kiuchumi au kijinsia.

Matamshi

ukandamizaji

/ukandamizaŹ„i/