Ufafanuzi wa ukatibu katika Kiswahili

ukatibu

nominoPlural ukatibu

  • 1

    kazi ya katibu.

Asili

Kar

Matamshi

ukatibu

/ukatibu/