Ufafanuzi wa uke katika Kiswahili

uke

nominoPlural uke

  • 1

    uchi wa mwanamke.

    kuma, mbele

  • 2

    hali ya kuwa mwanamke.

Matamshi

uke

/ukɛ/