Ufafanuzi wa ukeketaji katika Kiswahili

ukeketaji

nominoPlural ukeketaji

  • 1

    tendo la kutahiri mwanamke; namna ya kukeketa.

Matamshi

ukeketaji

/ukɛkɛtaʄi/