Ufafanuzi wa ukewenza katika Kiswahili

ukewenza

nominoPlural ukewenza

  • 1

    uhusiano baina ya wanawake walioolewa na mume mmoja.

Matamshi

ukewenza

/ukɛwɛnza/