Ufafanuzi wa Uking’wafua mnofu ukumbuke na kuguguna mfupa katika Kiswahili

Uking’wafua mnofu ukumbuke na kuguguna mfupa

msemo

  • 1

    kila unapoona vitu vya raha usisahau kuwa vilitafutwa kwa taabu.