Ufafanuzi wa ukombozi katika Kiswahili

ukombozi

nominoPlural ukombozi

  • 1

    uokoaji wa watu kutoka kwenye hali mbaya ya udhalimu au hali duni.

Matamshi

ukombozi

/ukɔmbɔzi/