Ufafanuzi wa ukomunisti katika Kiswahili

ukomunisti

nominoPlural ukomunisti

  • 1

    mfumo wa kiuchumi, kijamii na kisiasa ambapo njia za uzalishaji mali zinamilikiwa na umma na mapato kugawiwa kufuatana na mchango wa nguvu na mahitaji ya kila mwananchi.

  • 2

    itikadi ya chama cha siasa kinachofuata mfumo huu.

Matamshi

ukomunisti

/ukɔmunisti/