Ufafanuzi wa ukonyezo katika Kiswahili

ukonyezo

nominoPlural ukonyezo

  • 1

    namna au jinsi ya kukonyeza au kuita mtu kwa ishara.

Matamshi

ukonyezo

/ukɔɲɛzɔ/