Ufafanuzi wa ukopaji katika Kiswahili

ukopaji

nominoPlural ukopaji

  • 1

    hali ya kuchukua fedha au kitu kinachouzwa na kuahidi kulipa baadaye.

Matamshi

ukopaji

/ukɔpaʄi/