Ufafanuzi wa ukupe katika Kiswahili

ukupe

nomino

  • 1

    hali ya kutegemea watu wengine ili kupata mahitaji ya maisha.

    unyonyaji

Matamshi

ukupe

/ukupÉ›/