Ufafanuzi wa ukuukuu katika Kiswahili

ukuukuu

nominoPlural ukuukuu

  • 1

    uzee wa kitu.

    methali ‘Ukuukuu wa kamba si upya wa ukambaa’
    uchakavu

Matamshi

ukuukuu

/uku:ku:/