Ufafanuzi wa ukwenje katika Kiswahili

ukwenje

nomino

  • 1

    maneno makali ya kukaripia.

    ukelele

Matamshi

ukwenje

/ukwɛnʄɛ/