Ufafanuzi wa ukwezi katika Kiswahili

ukwezi

nominoPlural ukwezi

  • 1

    namna ya kukwea.

  • 2

    kazi ya mkwezi.

Matamshi

ukwezi

/ukwɛzi/