Ufafanuzi wa ulaka katika Kiswahili

ulaka

nomino

  • 1

    pombe ya kienyeji inayotengenezwa kutokana na mabibo.

Matamshi

ulaka

/ulaka/