Ufafanuzi wa ulengaji katika Kiswahili

ulengaji

nomino

  • 1

    hali ya kutuliza macho mahali kwa lengo la kupata shabaha.

Matamshi

ulengaji

/ulɛngaʄi/