Ufafanuzi wa ulimi katika Kiswahili

ulimi

nominoPlural ndimi

 • 1

  kiungo cha mwili ndani ya kinywa kinachotumika kwa kuonjea, kusemea, kurambia, n.k..

  lisani

 • 2

  kitu chochote kinachofanana na ulimi.

 • 3

  shungi la miali ya moto, hasa inapoonekana kwa mbali.

Matamshi

ulimi

/ulimi/