Ufafanuzi wa ulinzi katika Kiswahili

ulinzi

nomino

  • 1

    kazi ya kulinda k.v. nchi au benki.

    hifadhi, gadi

  • 2

    namna ya kulinda.

    ulindaji

Matamshi

ulinzi

/ulinzi/