Ufafanuzi wa umajimaji katika Kiswahili

umajimaji

nominoPlural umajimaji

  • 1

    hali ya kuwa na unyevunyevu.

    uowevu

Matamshi

umajimaji

/umaʄimaʄi/