Ufafanuzi wa umbika katika Kiswahili

umbika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    umbwa vizuri kwa sura na umbo.

Matamshi

umbika

/umbika/