Ufafanuzi wa umbuya katika Kiswahili

umbuya

nomino

  • 1

    urafiki wa moyo.

Matamshi

umbuya

/umbuja/