Ufafanuzi wa umio katika Kiswahili

umio

nominoPlural umio

  • 1

    njia ya kupitishia chakula kutoka kinywani kwenda tumboni; njia ya koo.

    koo

Matamshi

umio

/umijɔ/