Ufafanuzi wa unadhifu katika Kiswahili

unadhifu

nominoPlural unadhifu

  • 1

    hali ya kuwa safi na maridadi.

Asili

Kar

Matamshi

unadhifu

/unaðifu/