Ufafanuzi wa unafiki katika Kiswahili

unafiki

nominoPlural unafiki

  • 1

    hali ya kujifanya kuwa ni rafiki na hali ni adui; hali ya kutokuwa mkweli.

    nifaki, gea, ujanja

Asili

Kar

Matamshi

unafiki

/unafiki/