Ufafanuzi wa unajisi katika Kiswahili

unajisi

nominoPlural unajisi

  • 1

    hali ya kuwa na najisi.

  • 2

    tendo la kumjamii mwanamke au mwanamume kwa nguvu.

Asili

Kar

Matamshi

unajisi

/unaʄisi/