Ufafanuzi wa unyama katika Kiswahili

unyama

nominoPlural unyama

  • 1

    matendo yasiyo ya kiutu.

    ukatili, uhayawani, udhalimu, ubahaimu, uonevu, ujahili

Matamshi

unyama

/uɲama/