Ufafanuzi wa unyarubanja katika Kiswahili

unyarubanja

nominoPlural unyarubanja

  • 1

    ukodishaji ardhi ya kilimo.

Matamshi

unyarubanja

/uɲarubanʄa/