Ufafanuzi wa unyumba katika Kiswahili

unyumba

nomino

  • 1

    maisha baina ya mume na mke.

  • 2

    ngono

Matamshi

unyumba

/uɲumba/