Ufafanuzi wa upakiaji katika Kiswahili

upakiaji

nominoPlural upakiaji

  • 1

    tendo la kutia mzigo au watu ndani ya chombo cha kusafiria k.v gari, ndege au meli.

    upakizi

  • 2

    namna au jinsi ya kupakia.

    upakizaji

Matamshi

upakiaji

/upakijaʄi/