Ufafanuzi wa upakuaji katika Kiswahili

upakuaji

nomino

  • 1

    tendo la kuteremsha mzigo kutoka kwenye chombo cha kusafiria k.v meli, gari au ndege.

  • 2

    namna au jinsi ya kupakua.

    upakuzi

Matamshi

upakuaji

/upakuwaŹ„i/