Ufafanuzi wa upanga katika Kiswahili

upanga

nominoPlural upanga

  • 1

    chuma kirefu chenye ncha na makali pande zote mbili kinachotumiwa kuwa ni silaha.

  • 2

    kisu kirefu cha mbao kinachotumiwa kwa kusukia.

    msu, sefu

Matamshi

upanga

/upanga/