Ufafanuzi wa upapasa katika Kiswahili

upapasa

nominoPlural upapasa

  • 1

    mkate uliotengenezwa kwa unga wa muhogo na tui la nazi.

Matamshi

upapasa

/upapasa/