Ufafanuzi wa upasuaji katika Kiswahili

upasuaji

nominoPlural upasuaji

  • 1

    tendo la kupasua mwili wa binadamu linalofanywa na daktari ama kwa kumtibu au kukata sehemu yenye maradhi.

    operesheni

  • 2

    tendo la kupasua kitu k.v. mbao.

Matamshi

upasuaji

/upasuwaʄi/