Ufafanuzi wa upatanishaji katika Kiswahili

upatanishaji

nominoPlural upatanishaji

  • 1

    namna au hali ya kupatanisha.

Matamshi

upatanishaji

/upatani∫aʄi/