Ufafanuzi wa upele katika Kiswahili

upele

nominoPlural upele

  • 1

    vituruturu vilivyozagaa katika mwili, agh. huwasha na kutunga usaha.

    ukurutu, kaga, uwati

Matamshi

upele

/upɛlɛ/