Ufafanuzi wa upepeaji katika Kiswahili

upepeaji

nominoPlural upepeaji

  • 1

    tendo la kupepea.

  • 2

    tia baridi au joto mahali kwa njia ya kupepea baridi au moto uelekee huko k.m. uivishaji wa ndizi.

    upepezi

Matamshi

upepeaji

/upɛpɛjaʄi/