Ufafanuzi wa upepo katika Kiswahili

upepo

nomino

  • 1

    hewa isiyotulia na agh. huenda kwa kasi.

    hewa

Matamshi

upepo

/upɛpɔ/