Ufafanuzi wa upinzani katika Kiswahili

upinzani

nominoPlural upinzani

  • 1

    hali ya kupinga.

    ubishi, ukinzani, halafa, mkinzano, ubishani

  • 2

    kundi la upande unaopinga.

Asili

Kar

Matamshi

upinzani

/upinzani/